Search

123 results for Emmanuel Mtengwa :

  1. Mwandabila awataka wananchi wamuombee Rais Samia

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila amewataka wananchi wa Mkoa wa Songwe na Watanzania kumuombea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ili azidi kuitenda kazi yake ya...

  2. Mbozi yapata clean sheet, DC na DED wapongezwa

    Shule mpya ya Msingi ya DR. Samia S. H iliyopo Lutumbi katika Mamlaka ya Mji mdogo Mlowo Wilayani Mbozi mkoani Songwe imekuwa kivutio katika mbio za Mwenge wa Uhuru 2023.

  3. Takukuru: Wananchi msiogope, toeni taarifa mtalindwa

    Songwe. Mkuu wa Taasisi ya Kuzuai na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Songwe, Edings Mwakambonja amesema kuwa programu ya Takukuru Rafiki imesaidia kutoa hofu na mtazamo wa jamii kuhusiana na taasisi...

  4. Mbozi wapiga marufuku tozo ya asilimia 10 mauziano viwanja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde amepiga marufuku tozo ya asilimia 10 inayotozwa na wenyeviti wa vijiji na watendaji wakati wananchi wanapouziana viwanja...

  5. Songwe waweka mikakati kutokomeza udumavu, utapiamlo kwa watoto

    Ili kutokomeza utapiamlo na udumavu kwa watoto katika Mkoa wa Songwe, viongozi na wadau wa mkoa huo wamefikia maazimio yatakayowezesha kuwasaidia wananchi kutatua hali hiyo huku wakisisitiza...

  6. Wasiojulikana waiba ng'ombe 14 shuleni Mbozi

    Taharuki imeibuka baada ya ng'ombe 14 wa Shule ya Sekondari Hollywood, nje kidogo ya Mji Mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe, kupotea usiku, katika mazingira yanayodhaniwa ni ya wizi.

  7. DC Lulandala: Momba tunaunga mkono uwekezaji bandari wa Dar

    Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe, Faki Lulandala amesema kuwa Wilaya hiyo inaunga mkono uwekezaji wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa ufanisi wa bandari hiyo utaleta faida...

  8. Idadi ya watu waliofariki katika ajali Momba, yaongezeka

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea linaloitwa Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe.

  9. RC Songwe: Wakulima msiuze mazao shambani

    Ikiwa imekaribia msimu wa mavuno kwa wakulima wa Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa huo (RC), Dk Francis Michael amewataka wakulima kuacha tabia ya kuuza mazao shambani.

  10. Zanzibar yafuta gwaride sherehe za Mapinduzi

    Zanzibar inatarajia kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu Januari 12, 2023 ambapo kawaida kilele cha maadhimisho hayo huambatana na gwaride katika uwanja wa Amaan, Zanzibari.

Page 1 of 13

Next